GET /api/v0.1/hansard/entries/1509290/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1509290,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1509290/?format=api",
"text_counter": 920,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mwisho, naomba nigusie swala la Wabunge kuleta shida wakati tunapotaka kusaidia kaunti zetu. Mwaka ujao, sisi kama Maseneta hatutakubali jinsi ilivyofanyika mwaka huu. Tuna imani kwamba mwaka ujao uchumi utaimarika. Kwa hivyo kaunti zetu zipewe pesa kulingana na vile tutakavyoidhinisha. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}