GET /api/v0.1/hansard/entries/1514205/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1514205,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514205/?format=api",
"text_counter": 588,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Haika Mizighi",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa ili niweze kuchangia mada hii ambayo ni ya muhimu sana. Mambo ya NG- CDF na NGAAF ni masuala muhimu sana. Miradi ambayo inafadhiliwa na fedha hizo ndio inaonekana mashinani katika pembe zote za nchi. Shule zimeboreshwa na ofisi za chifu kujengwa. Hata pesa za basari zinasikika sana kule mashinani. Mpango mzima wa hizo fedha hauwezi kusahaulika wala kufutiliwa mbali."
}