GET /api/v0.1/hansard/entries/1514230/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1514230,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514230/?format=api",
"text_counter": 613,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nasimama kuchangia Legislative Proposal hii kwamba NG-CDF iweze kuingizwa kabisa ndani ya Katiba yetu ya Kenya. Ni jambo la kutia moyo, tukiona wananchi kule mashinani wanavyojivunia NG-CDF kwa kuchangia maendeleo ya maeneo Bunge. Kenya yetu imekuwa na sehemu ambazo zimebobea na zingine zilizobaki nyuma tangu tupate Uhuru mwaka wa 1963. Kama unakumbuka, kuna Hoja ilikuja hapa Bunge mwaka wa 1965, ilikuwa inaitwa"
}