GET /api/v0.1/hansard/entries/1514235/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1514235,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514235/?format=api",
"text_counter": 618,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": "Kile ambacho kinatia moyo sana ni kuwa, asilimia sita pekee ya NG-CDF ndiyo inagharamia mishahara na marupurupu ya Kamati inayosimamia. Ingekuwa magatuzi yetu ya kaunti yamewekewa asilimia ya chini hivo ya kugharamia mishahara na zile marupurupu, tungeona maendeleo yakifanywa na kaunti zetu."
}