GET /api/v0.1/hansard/entries/1514515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1514515,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514515/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa CWR, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Nataka kusema kwamba, ili tuweze kulinda data ya wale wanaofanya biashara kwenye mitandao, ni lazima tuipitishe sheria hii na tuikoleze kabisa. Vijana wetu ambao wanafanya kazi ya content creation mara nyingi wanaibiwa na wengine na uhalisia unapotea. Kwa hivyo, itakuwa rahisi kujua nani mwanzilishi wa kitu fulani. Tukifanya hivyo, inakuwa rahisi kumfikia. Wengine wanatumia picha za watu vibaya. Kwa hivyo, itakuwa rahisi kujua ni nani alianzisha kitu fulani ili aweze kunufaika yeye mwenyewe."
}