GET /api/v0.1/hansard/entries/1514547/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1514547,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514547/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Naomba nami niweze kuunga mkono. Vijana hawana ajira na wakati mwingi wanajitafutia ajira wenyewe. Lakini unapata ushuru unawaathiri sana kwa sababu ya maekezo mengi. Turekebishe jambo hili ili mtu akipata profit kiwango fulani ndiyo aweze kutoa ushuru. Lakini kwa wengine ambao bado profit yao iko chini, wanaweza kuwa exempted ili waweze kufanya biashara yao bila bughudha na kuinua uchumi wa taifa."
}