GET /api/v0.1/hansard/entries/1514613/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1514613,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514613/?format=api",
    "text_counter": 314,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Naibu wa Mwenyekiti wa Muda, naunga mkono New Clause 34A(2) kwa sababu tunajua kuwa koti zetu huwa zinachukua muda sana kutoa uamuzi. Kwa mfano, pengine kama mtu ameshtaki na bado biashara yake inaathirika wakati anapoongojea matokeo ya koti. Ni afadhali kuwepo sheria kuwa huyo mtu pia asimamishwe kama bado anafuatilia kesi. Kwa hivyo, naunga mkono haya marekebisho."
}