GET /api/v0.1/hansard/entries/1514703/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1514703,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514703/?format=api",
"text_counter": 404,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Mwenyekiti wa Muda, naunga mkono kwa sababu tukitoa neno welfare na kuweka rights inasisitiza kuwa hii ni haki yao. Lakini tukiiacha welfare, wanatatizika kidogo wakati ambao ni haki yao kupata huduma na kuangaliwa kama Wakenya wengine. Naunga mkono."
}