GET /api/v0.1/hansard/entries/1514760/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1514760,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514760/?format=api",
    "text_counter": 461,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Mwenyekiti wa Muda, matamshi yakihitilafiana kidogo yanaweza kubadilisha muongozo wa jambo fulani. Kwa hivyo, ninaipongeza Kamati kwa kulichunguza hilo swala na kulitambua kwa sababu lilikuwa linatoa mwelekeo tofauti katika maswala ya walemavu. Nawapongeza na kuwaunga mkono. Ahsante sana."
}