GET /api/v0.1/hansard/entries/1514775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1514775,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514775/?format=api",
"text_counter": 476,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Mwenyekiti wa Muda, hadi sasa, kampuni nyingi hazijawapea walemavu kipao mbele wanapoandika wafanyi kazi. Ningependa kuishukuru Kamati ambayo imepanga kuwa asilimia tano kwa watu ishirini ambao wanaandikwa kazi wawe walemavu. Lakini sio kusema tu wala tusisitize wapewe hizo nafasi. Kufikia sasa, kampuni nyingi hazijawapa walemavu nafasi za kazi, hasa, Mombasa Kaunti, ambapo walemavu wameachwa nje. Wahudumu kwenye kampuni nyingi ni watu wenye usawa kwa maumbile yao. Naipongeza hii Kamati sana. Ahsante sana."
}