GET /api/v0.1/hansard/entries/1514912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1514912,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514912/?format=api",
    "text_counter": 613,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Mwenyekiti wa Muda, kwanza ningependa kurekebisha matamshi yangu ya mwanzo kuhusu Clause 21. Badala niseme mlemavu mmoja kwa kila waajiriwa ishirini, nilisema walemavu watano waajiriwe kwa kila watu ishirini. Kwa hivyo, mlemavu mmoja apewe nafasi kwa kila waajiriwa ishirini. The electronic version of the Official Hansard Report is for informationpurposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}