GET /api/v0.1/hansard/entries/1515259/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1515259,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1515259/?format=api",
    "text_counter": 288,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi nipate kuchangia. Moja kwa moja, ninaunga mkono. Ninataka niwaambie kwamba na iwe vile ambavyo wamesema kwenye Kamati; siyo kusema tu kwa mdomo, bali waseme kwa vitendo. Kuna wakati Ministry ya Information, Communication and Digital Economy ilitoa nafasi kwa vijana wawili katika kila kaunti, lakini kaunti zingine hazikupewa hizo nafasi. Utaona hata zile zetu mbili zinapewa watu wengine. Kwa hivyo, Waziri akifika hapo, aangalie Kenya yote. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}