GET /api/v0.1/hansard/entries/1515263/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1515263,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1515263/?format=api",
    "text_counter": 292,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": ". Kuna mfadhili mmoja alisaidia hivi karibuni kwa kutoa laki tano akakipa kikundi cha youth . Hizo laki tano zilitoa watermelon mpaka tukashindwa kuuza. Watermelon zilikuwa nyingi sana. Kuna haja ya Waziri kuingia kule na kuangalia maeneo gani yatatoa mazao gani ili tuweze kusaidia watu wetu. Itakuwa ni kuinua uchumi wa Kenya."
}