GET /api/v0.1/hansard/entries/1515264/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1515264,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1515264/?format=api",
    "text_counter": 293,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Pia, kuna ukulima wa ndimu na mihogo, lakini bado tunategemea mbinu za zamani. Hawatusaidii. Ningependa kumwambia Waziri kwamba sisi ndio tunatoa simsim nzuri. Ajue kwamba akiingia, kazi inamngojea pale mezani. Ajue kwamba kule Lamu Mashariki, simsim iko nyingi, lakini haiuziki kwa sababu ya makosa ya watu wengine. Wao walitumia dawa inaitwa kausha, wakakausha mimea na sasa simsim yetu haiwezi kuuzwa kule uzunguni. Haiwezi kwenda. Kwa hivyo, aje afanye tofauti na hivyo. Wale wanaotumia madawa wasipeleke bidhaa zao, lakini wale ambao hawatumii madawa bidhaa zao ziweze kupelekwa. Simtarajii aseme kwamba nizungumze na kaunti…"
}