GET /api/v0.1/hansard/entries/1515277/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1515277,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1515277/?format=api",
    "text_counter": 306,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika kwa kunipa nafasi pia nichangie Hoja ambayo imeletwa National Assembly na Leader of the Majority Party wetu. Ninachukua nafasi hii kumpongeza Rais kwa niaba ya watu wa Nakuru kwa kuteua hawa watendakazi watatu na wengine wengi ambao tuliwapitisha asubuhi. Ningependa kuzungumzia Waziri Mutahi Kagwe ambaye tulifanya kazi naye katika"
}