GET /api/v0.1/hansard/entries/1515281/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1515281,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1515281/?format=api",
"text_counter": 310,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "zinazopanda pyrethrum kwa wingi. Pyrethrum ni mmea ambao tulitumia sana zamani kusomesha watoto wetu kule Nakuru. Ninaomba Mhe. Mutahi Kagwe kwamba atakapokuja kuanza kazi, ashikane na Mhe. Lee, ambaye pia tunajua kazi yake. Kwa niaba ya watu wa Nakuru, ninajua tutafaidika na vijana watapata kazi. Akina mama pia wamejitokeza kuwa wakulima wa ng’ombe wa maziwa. Kwa hivyo, nina hakika kwamba Mhe. Mutahi Kagwe atatekeleza kazi hii."
}