GET /api/v0.1/hansard/entries/1515851/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1515851,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1515851/?format=api",
    "text_counter": 469,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gonzi Rai (",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kinango, PAA): Mhe. Spika, kwanza, nataka nikushukuru. Kwa sababu nina dakika mbili, niliposoma judgement hii, nilikumbuka mwaka wa 1982 wakati ilitangazwa hapa nchini kulikuwa na jaribio la mapinduzi. Tuiangalieni hii judgement kwa jicho jingine kwa sababu naona kama kuna njama kutoka kwa mahakama ya kujaribu kupindua The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}