GET /api/v0.1/hansard/entries/1516287/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1516287,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1516287/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "udongo na mitaro. Naomba Serikali itilie Mswada huu maanani kwa kuajiri wafanyakazi walio na elimu ya kuonyesha watu jinsi watakata mitaro ili tuzuie maji. Katika kaunti zetu, magavana wengi hawafikirii mambo ya mazingira. Tunaomba kuwe na maofisaa wa afya kule mashinani ili wasaidie kuzingatia usafi kwa masoko yetu ili takataka ziondolewe ili kusinuke vibaya. Hii itasababisha kaunti zetu kuwa safi. Wiki mbili zilizopita, nikiwa Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, tulitembea Dodoma. Wanaandaa mji wao uwe mzuri na tulipata wamepanda miti. Ukiwa kwa mpaka wa Kenya na Tanzania, utashangaa tofauti unayoona. Hii inamaainisha kuna shida ya"
}