GET /api/v0.1/hansard/entries/1516444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1516444,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1516444/?format=api",
    "text_counter": 99,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Whip",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Naibu Spika. Kwanza ninakubaliana na majina yaliyoko hapa, ya Maseneta ambao wataketi katika kamati inayoongoza Bunge katika itifaki zake. Waliochaguliwa hapa ni Maseneta walio na ukakamavu wa mambo ya Seneti. Tuna imani ya kwamba hawa waliochaguliwa wataweza kutimiza ile hadhi ambayo wamepewa. Nikiendelea kuunga mkono majina haya saba, ningependa kutangazia ndungu zangu ya kwamba ni jambo ya kusikitisha ninaposimama na kutangaza kifo kilichotokea cha babake Spika wetu wa Seneti, Hon. Amason Kingi. Kifo hicho kilitokea jana wakati madaktari walipokuwa wakiendelea kumpatia matibabu mzee wetu. Ijapokuwa sisi tulimpenda, Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}