GET /api/v0.1/hansard/entries/1516451/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1516451,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1516451/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Waswahili husema “Kipandacho hushuka”. Mimi ninawashukuru Wakenya kwa kutupa nafasi kujumuika nao katika msimu wa Krismasi na mwaka mpya. Tumekuwa na kikao kule Naivasha kutathmini ratiba na mipangilio ya Seneti. Jambo la muhimu ni wale ambao wameteuliwa kuongoza Kamati ya Shughuli za Bunge watie maanani kwa sababu Seneti ni Bunge kuu; Bunge ambalo lina umarufu wa kutunga sheria. Mwaka huu lazima ibainike wazi mbichi na mbivu kuwa majukumu ya Seneti iko wazi kikatiba na kisiasa. Kusiwe na uzembe ambao tuliona mwaka uliyopita lakini tujue kuwa ni sharti tufanye kazi kwa pamoja. Kikundi hiki---"
}