GET /api/v0.1/hansard/entries/1516604/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1516604,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1516604/?format=api",
    "text_counter": 259,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "tukianza na Sen. Ali Roba, Sen. Shakila Abdalla Sen. Veronica Maina, Sen. Wakili Sigei, Sen, Mwinyihaji Faki, Sen. Crystal Asige na kadhalika. Ninashukuru kwa uamuzi huu ya kwamba maseneta wote wanaweza kuwa katika kamati hii na ni vyema kufanya kazi kwa zamu. Ninafurahia kwa sababu wale walifanya mbeleni walifanya kazi nzuri na hawa ambao wamewekwa pia wataweza kufanya kazi nzuri. Katika kazi zilizo mbele yetu, kulikuwa na Miswada, Maswali na kazi nyingine nyingi ambayo haikuenda---"
}