GET /api/v0.1/hansard/entries/1516824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1516824,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1516824/?format=api",
"text_counter": 67,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kitui South, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr) Rachael Nyamai",
"speaker": {
"id": 13374,
"legal_name": "Richard Ken Chonga Kiti",
"slug": "richard-ken-chonga-kiti"
},
"content": " Asante Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii. Namshukuru Mhe. Haika kwa Kiswahili kizuri sana cha Pwani. Ametukumbusha maisha ya Leonard Mambo Mbotela. Najiunga na wenzangu kumuomba Mungu aipatie familia yake fadhila katika wakati huu mgumu."
}