GET /api/v0.1/hansard/entries/1517169/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1517169,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517169/?format=api",
"text_counter": 89,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Katika Kauli hii, ninaomba Kamati hiyo - (1) Iorodheshe hatua ambazo Serikali ya Kaunti ya Mombasa imechukua kusuluhisha tatizo la hali mbaya inayoendelea, kudorora kwa utoaji wa huduma za afya ikizingatia kuwa kuna upungufu wa madaktari, wauguzi, wachunguzi wa mahabara na"
}