GET /api/v0.1/hansard/entries/1517174/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517174,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517174/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "(4) Ieleze sababu zilizochangia kutokupatia vituo vya afya mapato wanayokusanya kwa matumizi yao yaani Facility Improvement Fund pamoja na sababu zilizofanya kutoa agizo kwamba vituo vya afya havina ruhusa kuajiri vibarua, licha ya kwamba vibarua hao wamekuwa wakihudumu kwenye vituo hivyo kwa mda mrefu. (5) Ifafanue mantiki ya kulipa mishahara ya wahudumu bila kununua dawa wala kujenga chochote ikiwa ni pamoja na kushindwa kuchukua hatua ya kubadilisha paa za"
}