GET /api/v0.1/hansard/entries/1517176/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517176,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517176/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, jana kulisomwa taarifa kwamba asbetors inasababisha saratani. Paa za asbestors zilipigwa marufuku humu nchini kwa kuhofia kusababisha ugonjwa wa saratani, ilhali kuna pesa zilitengwa kwa kusudi ya kutoa huduma hizo za afya kwa wakaazi wa Pwani na Mombasa. (6) Ifanye uchunguzi ili kubainisha chanzo cha kudorora huku na ichukue hatua zinazofaa ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma zinazostahili, pamoja na kuchunguza sababu zilizochangia kutotumika kwa hospitali ya Shonda katika eneo la Likoni na Marimani katika sehemu ya Kisauni, zilizomalizika kujengwa mnamo mwaka 2022. Bw. Spika wa Muda, asante kwa fursa hii."
}