GET /api/v0.1/hansard/entries/1517222/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517222,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517222/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa hii fursa umenipa ili kuchangia kwenye kauli ya Seneta wa Mombasa Sen. Faki, kuhusu kudorora kwa hali ya afya kwenye Kaunti ya Mombasa. Hospitali za Jiji la Mombasa ni muhimu sana. Tukiangalia Coast General Teaching and Referral Hospital inasaidia kaunti jirani za Pwani kama Taita Taveta, Kilifi, Tana River na zinginezo. Hii ni hospitali ambayo iko kimikakati au kwa Kingereza"
}