GET /api/v0.1/hansard/entries/1517226/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517226,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517226/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "serikali ya kaunti ya Taita-Taveta haikuwa imelipa Social Health Insurance Fund (SHIF). Huyu mama alikuwa tayari ashakatwa zile pesa lakini haikufika kwenye shirika hilo wala hakupata huduma za afya. Kaunti hii ilialikwa hapa Seneti na kamati ya Health na walikuja na kuahidi kwamba watalipa pesa hii. Jambo la kushangaza ni kwamba hadi sasa hawajalipa. Ni vizuri tufuatilie mambo haya kwa sababu kulikuwa na shilingi milioni 800 ambazo zilikatwa kutoka kwa mishahara ya wafanyikazi wa kaunti ya Taita-Taveta na ilikuwa kama pending bill . Tutasukuma haya ili kaunti hii ifanyiwe special audit ili pesa yote wafanyikazi wamekatwa ielekezwe kwenye SHIF na wapate huduma za afya. Kuna Hoja ambayo imeletwa na Sen. Kibwana kuhusu Medical Equipment Scheme (MES). Kaunti nyingi bado zinapata huduma kutoka MES lakini mkataba ule haueleweki kuwa ni nani atafanya repair ya zile mashine zitaharabika---"
}