GET /api/v0.1/hansard/entries/1517319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517319,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517319/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ni kwa nini haya maeneo tunayoyatumia tunataka kuyajenga yasifaidi wananchi wa kawaida? Ukiangalia Tana River, wamepafunga kabisa mahali palipo na miti sehemu ya Hola. Hapa Nairobi, Uhuru Gardens imefungwa. Mwananchi wa kawaida aliyekuwa anaishi sehemu za Lang’ata hana mahali pa kujivinjari. Ukifika pale unaona Lango kubwa na askari wengi. Hakuna mahali pa kujivinjari hadi siku ambayo Rais anaenda huko pengine kufanya sherehe kama vile ya Madaraka Dei ama Jamhuri Dei. Watu wanaingia na punde tu Rais akitoka, panafungwa tena. Zamani, ilikuwa ni mahali wazi. Kila mtu anapata nafasi ya kujivinjari na kufurahia mazingira yetu. Hapa Nairobi watu wengi wanaishi kwa apartments. Uhuru park hufungwa, sielewi hawa watu hufikiria vipi. Uhuru park wameachilia pande moja. Uhuru gardens wameifunga. Tulipokuwa university wanawake ambao tumeoa hatungeweza kupeleka"
}