GET /api/v0.1/hansard/entries/1517323/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517323,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517323/?format=api",
    "text_counter": 243,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kuingiza msichana box. Watoto hawa wanatafuta wachumba wao kwa kusimama barabarani. Ajali zinaongezeka Lang’ata Road. Sehemu zetu za mazingira zifunguliwe ili wananchi waweze kufurahia Nairobi na Kaunti ya Tana River. Naunga mkono huu Mswada na naomba maseneta wote waunge mkono huu Mswada ili tupitishe kwamba kila mwaka tarehe 15 tusheherekee upanzi wa miti. Bw. Spika wa Muda, nashukuru sana asante kwa kunipa nafasi"
}