GET /api/v0.1/hansard/entries/1517545/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517545,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517545/?format=api",
    "text_counter": 102,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante sana Spika wa Muda. Nitakuwa mchache wa maneno na mzito kwa hoja. Naomba kutoa tasfida na kauli yangu kuhusu Taarifa ambayo imewasilishwa na Seneta wa Nairobi City County, Sen. Sifuna. Wiki jana nilipatana na mawimbi makubwa sana wakati nilikuwa nakosoa utendakazi wa Gavana wa Kirinyaga, kwa sababu ya ukosefu wa matibabu na kunyanyasa maafisa wa ugani ambao wanatembea wakiangalia wagonjwa vijijini. Tabibu wale wa ugani wanatembea kwa mguu kama mawakala wa ng’ombe. Hawana njia yeyote ya usafiri ya kuwafikisha vijijini ambapo watu wetu kama vile nyanya zetu wanaishi. Wamepewa kazi na mikoba mizito ambayo wanafaa kuzunguka nayo. Wamebeba mizigo kama punda hivi kwamba hawawezi kuwafikia kwa sababu ya kuchoka---"
}