GET /api/v0.1/hansard/entries/1517551/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517551,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517551/?format=api",
    "text_counter": 108,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Wale maafisa wa ugani wamepewa kazi ngumu na mikoba mizito ambayo wanabebeshwa mithili ya punda wakizunguka wakiangalia wagonjwa katika vijiji vyetu ilhali hawajalipwa kwa miezi mingi. Hili ni jambo la busara kuhakikisha kwamba wengine wanapolipwa, hawa pia wanalipwa ili wafanye kazi yao kwa ufasaha. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}