GET /api/v0.1/hansard/entries/1517567/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1517567,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517567/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "na walikuwa wanazalisha au wakunga. Bw. Spika wa Muda, siyo kila mama alikuwa anaweza kwenda hospitali kuzaa. Wakunga walikuwa wanalipwa na manispaa zao. Kwa hivyo, tunataka jukumu kama hilo pia litekelezwe kiukamilifu zaidi katika serikali zetu za gatuzi. Ninaunga mkono Taarifa hii ya Katibu wetu wa Chama Cha ODM ndugu yetu, Sen. Sifuna. Asante sana."
}