GET /api/v0.1/hansard/entries/1517812/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517812,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517812/?format=api",
    "text_counter": 369,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "kikamilifu. Naunga mkono Mswada huu kwa sababu utakuwa wa manufaa makubwa. Utasababisha wananchi waelewe zaidi Katiba yetu na sheria zinazotungwa. Hii itawasidia wakati watakapohusishwa katika utunzi wa sheria ama mjadala wa bajeti ama mjadala wowote mwengine kutokana na ile elimu watakayokuwa wamepata. Itawawezesha kuchangia kwa mswada ama mambo yanayowakabili katika maisha yao. Mhe. Spika wa Muda, naunga mkono Mswada huu. Asante kwa kunipa fursa hii."
}