GET /api/v0.1/hansard/entries/1517863/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1517863,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517863/?format=api",
    "text_counter": 40,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Naibu Spika. Kwanza, nataka kutoa rambi rambi zangu za dhati kwa familia iliyopoteza Mhe. Injendi ambaye ni Mbunge wa Kitaifa wa eneo Bunge la Malava. Jambo la kusikitisha ni kwamba Mheshimiwa alikuwa kijana sana na amepoteza maisha yake akiwa anawatumikia watu wake wa Malava. Hili ni jambo la kusikitisha, kwamba kwa wakati na muda huu tumepoteza Seneta na vile vile tumempoteza Mbunge wa Kitaifa. Hili ni jambo la kusikitisha na ambalo si la kufurahisha. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}