GET /api/v0.1/hansard/entries/1517864/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1517864,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517864/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Vile vile ni kwamba, hawa wote ambao hivi sasa wanaomboleza ni kwamba wanaomboleza hisia ya familia zao, jinsi waliweza kumpenda marehemu na hatimaye Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi. Sisi hatuna la kusema ila tu ni kumwombea Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu Injendi mahali ambapo amelela wema. Asante."
}