GET /api/v0.1/hansard/entries/1517885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1517885,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517885/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nilipokea kwa huzuni taarifa za kifo cha Mhe. Malulu Injendi aliyekuwa Mbunge wa Malava katika Kaunti ya Kakamega. Mwanzoni Mhe. Malulu alikuwa katika Hospitali ya Nairobi kisha baadaye akapelekwa katika Hospitali ya Aga Khan. Kwa kuwa alikuwa na afya nzuri, sikufikiri kwamba kifo chake kingetutembelea haraka jinsi ilivyofanyika. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}