GET /api/v0.1/hansard/entries/1518050/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1518050,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1518050/?format=api",
"text_counter": 227,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "kwa Mungu tunatoka na hapo tu ndipo tutarudi. Tunachopenda, Mungu hupenda zaidi. Kwa hivyo Sen. Cheptumo ametangulia na sisi tunafuata. Ninatuma rambirambi nyingine kwa familia ya Mbunge mwenzetu, Mhe. Injendi. Sikumfahamu vizuri kwa kuwa huu ni muhula wangu wa kwanza. Pole kwa famila na eneo Bunge lake. Mungu azilaze hizi roho mbili mahali pema peponi."
}