GET /api/v0.1/hansard/entries/1518146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1518146,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1518146/?format=api",
    "text_counter": 29,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, nachukua fursa hii kuwakaribisha wanafunzi wanaosomea matibabu na mhadhiri wao. Jambo la kwanza, nachukua fursa hii kumshukuru Naibu Spika wetu kwa sababu aliona manufaa ya kuanzisha masomo ya matibabu na akaanzisha chuo hiki. Ni vizuri wameweza kutembea hapa siku ya leo ili waweze kuona vile majadiliano yanafanywa katika Seneti. Nawakaribisha nikiwaambia kwamba mambo ya matibabu ni mambo ambayo yamepewa kipaombele katika Jamhuri ya Kenya. Hii ni kwa sababu bila matibabu, itakuwa ni kazi bure."
}