GET /api/v0.1/hansard/entries/1519715/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1519715,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1519715/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika. Nasimama kwa niaba ya Eneo Bunge la Kisauni kusema pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Eneo Bunge la Malava kwa kifo cha Mhe. Injendi ambaye aliishi na watu vizuri. Anachohitaji sasa ni maombi. Tumuombee Mungu amsamehe dhambi zake na amuweke mahala pema peponi. Kifo chake kinatukumbusha kuwa duniani, tunapitia tu. Unalohitajika kufanya duniani ni mambo mema. Hayo ndiyo yatakayokusaidia mbele. Kifo hakijali ikiwa wewe ni mtu mzima, mtoto, wala cheo ulichonacho. Hakuna mtu aliye na uhakika wa kuishi dakika mbili The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}