GET /api/v0.1/hansard/entries/1519763/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1519763,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1519763/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kaloleni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Paul Katana",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Spika. Najiunga na wenzangu kutoa rambirambi kwa niaba ya wakaazi wa Kaloleni kwa familia za Seneta Cheptumo na Mhe. Injendi. Mhe. Injendi alitetea sana mambo ya elimu. Pia, tumekuwa tukienda kanisa moja. Mimi na yeye ni Wakatoliki. Kila siku ya jumatano, tulikuwa tunaenda kanisani naye. Tunaiombea roho yake ilale mahali pema peponi."
}