GET /api/v0.1/hansard/entries/1519925/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1519925,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1519925/?format=api",
    "text_counter": 314,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru Town East, UDA",
    "speaker_title": "Hon. David Gikaria",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza, ninachukua nafasi hii kumpongeza Mhe. Raila Amolo Odinga kwa kujitokeza kuwania kiti cha kuongoza Afrika nzima. Pili, ninachukua nafasi hii kumshukuru sana Rais wetu William Samoei Ruto kwa kujitolea na kuwa kwenye mstari wa mbele kumpigia debe Mhe. Raila Amolo Odinga. Sijawahi pata nafasi ya kukaa karibu na Mhe. Raila. Ninafikiria kuwauliza ndugu zangu Mhe. Atandi na Mhe. Gogo wanipeleke kwake. Hapo mbeleni, tungeenda kwake, ingesemekana tunakuwa"
}