GET /api/v0.1/hansard/entries/1519927/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1519927,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1519927/?format=api",
    "text_counter": 316,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru Town East, UDA",
    "speaker_title": "Hon. David Gikaria",
    "speaker": null,
    "content": "Mimi ni shabiki wa Mhe. Raila sana kwa mambo mengi tangu nikiwa c ouncillor . Aliniongoza kwa njia ya kuleta watu pamoja na kufanya mambo mengi. Kama ndugu yetu Mhe. Junet alivyosema, atarevisit, kwa niaba ya jamii ambayo inasemekana walisherekea, ninaomba msamaha. Sio jamii nzima ilifanya hivyo."
}