GET /api/v0.1/hansard/entries/1519929/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1519929,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1519929/?format=api",
    "text_counter": 318,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru Town East, UDA",
    "speaker_title": "Hon. David Gikaria",
    "speaker": null,
    "content": "Ni watu wachache katika kona fulani. Kwa hivyo, isichukuliwe ni kana kwamba ni sisi sote. Ni mtu mmoja ambaye anajulikana kwa mambo hayo. Mambo ya zile sheria zimewekwa pale, ndugu yangu, Mhe. Charles Nguna Ngusya (CNN) amesema ni lazima tuanze kuziangalia. Sijui kama nitakuja kuchaguliwa Rais siku zijazo, pengine nitaweza kuuleta mswada ili tubadilishe sheria. Ya kwanza, chairmanship iwe ni kitu cha kuzunguka. Ikiwa South Africa, ikuje West Africa, East Africa, iende kule chini na kule kwingine. Kama sivyo, wakubali kuwa yule atakayepata majority votes first round akuwe mshindi. Raila wetu aliongoza mara mbili lakini kuendelea mbele, watu wakaanza siasa na mambo mengine."
}