GET /api/v0.1/hansard/entries/1519930/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1519930,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1519930/?format=api",
"text_counter": 319,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru Town East, UDA",
"speaker_title": "Hon. David Gikaria",
"speaker": null,
"content": "Tunampongeza sana Rais wetu kwa kumpigia debe, na zaidi, kwa ndugu yetu Raila Amolo Odinga kwa kujitokeza mhanga. Katika hata ile miaka yake, watu wanasema, sio uzee. Mhe. Millie amesema usije ukastaafu kama unajua lengo lako."
}