GET /api/v0.1/hansard/entries/1520131/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1520131,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1520131/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohammed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ninasisitiza tena na tena kuwa pesa za Equalisation Fund zikipelekwa kule, magavana walio na mifuko mikubwa ya kufanya kazi wanachukua hizo pesa chache na kuziweka katika ugatuzi ili Serikali kuu ionekane ni kama haifanyi kazi. Hizo ni pesa chache sana. Kwa mfano, nimebaki na million ishirini na nne ninazopaswa kugawanya katika eneo bunge langu lote. Kwa hivyo, sheria iwekwe, tugawane majukumu, na ijulikane kuwa kaunti inafanya nini na Serikali kuu inafanya nini ili watu wote wasaidike na kusiwe na mizozo."
}