GET /api/v0.1/hansard/entries/1520288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1520288,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1520288/?format=api",
"text_counter": 279,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": "kama Wundanyi haina barabara za lami; tunajivunia tu kilometa moja peke yake ya lami ambayo imetengenezwa kutoka tupate uhuru mwaka wa 1963 mpaka leo. Naona katika Mswada huu Taita Taveta iko sawasawa na zile kaunti zingine za nchi. Sasa tunashangaa ni vipi watu wakae mahali wazi waseme kwamba kaunti fulani, ambayo ilitambulika kuwa imebaki nyuma, leo iko sawa? Ndipo mimi nasema: Katika Mswada huu, kama tutakuwa tunasaidia nchi hii ya Kenya na kama kweli tunaamini kwamba nchi lazima ikue kwa pamoja, lazima tukatae"
}