GET /api/v0.1/hansard/entries/1520290/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1520290,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1520290/?format=api",
"text_counter": 281,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": "inayoletwa hapa na CRA. Tukikosa kuikataa, itabidi nchi yetu ya Kenya sehemu zingine zijiulize, “Je, kweli sisi ni Wakenya?” Itakuwaje? Sehemu zilizobaki nyuma, kama kule Taita Taveta, pesa tunazopewa za Equitable Share ni kidogo mno kwa sababu idadi ya watu ni ndogo. Miaka iliyotangulia ugatuzi, hakuna cha mno kilichofanyika The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}