GET /api/v0.1/hansard/entries/1520327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1520327,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1520327/?format=api",
"text_counter": 318,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "ukiangalia katika sehemu ya Miroroni na sehemu zingine, utahurumia watu. Kipengee cha Katiba cha 204 (2) chasema moja ya pesa ni maswala ya maji. Vilevile, nachukua fursa hii kutoizungumzia c onstituency peke yake. Nikiwa kiongozi wa kitaifa, nitazungumzia kaunti nzima kwa jumla. Ukienda Kisauni, shida ya maji ni hiyo hiyo, ukienda Likoni, shida ya maji ni hiyo hiyo. Ukienda sehemu nyingine, shida za maji ni hizo hizo. Kwa hivyo, Mhe. Spika wa Muda, tumemuona Mhe. Rais William Ruto alikuja 2018 akaanzisha barabara ya kuweza kuunganisha Jomvu na Rabai, ambayo ni kuunganisha Kaunti ya Mombasa na Kaunti ya Kilifi. Mpaka leo, nalia kuhusu barabara ile kuwa kuna mahali padogo paitwapo Jitoni ambapo hapajamalizika. Tukitizama, tungelilia pesa zile za"
}