GET /api/v0.1/hansard/entries/1520912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1520912,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1520912/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante sana Mstahiki Bw. Naibu Spika. Ningependa kumuuliza Waziri kama amesikia kilio, masikitiko na uchungu wa walimu. Walitozwa ada ya Bima ya Afya ya Taifa, lakini ada hiyo ikaenda kwa Hazina Kuu ya Serikali na hazikufikia zile hospitali wanazofaaa kuenda kutibiwa. Bado wako na kandarasi na bima zingine zinazofaa kuwasaidia katika mambo ya matibabu. Je, anajua haya? Na kama anajua zile shida zilizo na walimu, amefanya nini ili kusuluhisha ili waalimu wapate huduma? Asante sana."
}