GET /api/v0.1/hansard/entries/1521081/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1521081,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521081/?format=api",
"text_counter": 361,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "ambao wanaishi sehemu mbali mbali. Kwa mfano, unavyoelewa, Kilifi ni kaunti moja kubwa katika Kenya, na wapo wanaotumia hii ridhaa ambayo iko Bamba na wale watu wa Bamba sasa imekua haifanyi kazi. Ikiwa ni hivyo, Wizara yako imechukua hatua gani kuona ya kwamba wale ambao hawapati services kama hizi wanaweza kuzipata wakiwa huko Bamba, Kilifi County."
}